Date: Wed, 11 Mar 1998 11:46:28 -0500 To: asomar@babel.ling.upenn.edu From: ksulliva@mail.phila.k12.pa.us (Kathryn Sullivan) Subject: Student Letters from Bethune School Mpendwa Dr. OMar Habari gani? Chei, chei. Shikamoo. Jina langu ni Glenwood Miller. Mwalimu wangu ni Mrs. Jackson. Ninasoma shule ya Bethune Elementary School. Nina miakaa kumi na moja. Nilizaliwa julai ishirini na sita, elfu moja mia tisa na themanini na sita. Nina dada mmoja na kaka wawili. Nina wazizi. Ninapenda kufaga mbwa. Ninapenda sana kukimbia na kuogelea. Nina penseli, karatasi, kalamu, daftari, mstari, na mfuko. Una vita gani? Mimi ninapenda kusafiri kwa motakaa, ndege, gari moshi, basi, boti, na baisikeli. Unapenda kusafiri? Kwa kawaida unapenda kufanya jana? Tutaonana tena. Sincerely, Glenwood Miller