Date: Thu, 16 Apr 1998 10:59:30 -0500 To: asomar@BABEL.ling.upenn.edu From: ksulliva@mail.phila.k12.pa.us (Kathryn Sullivan) Subject: Student Letters from Bethune Content-Type: text/plain; charset="us-ascii" Mpendwa Mwalimu Omar, Chei chei! Habari gani? Jina langu ni Nyima Threatt. Umevaa nini? Nimevaa shati, suruali, na viatu. Nina miaka kumi. Ninapenda kufuga mbwa na paka. Mimi ninapenda kusafiri kwa motokaa na gari moshi. Mimi ninapenda sana kuogelea. Mimi ninapenda kidogo kukimbia. Ninasoma shule ya Bethune. Mwalimu wangu ni Mrs.Jackson. Ninasoma Kiswahili. Tutaonana tena. Wako, Nyima Threatt