Date: Thu, 12 Mar 1998 12:05:24 -0500 To: asomar@babel.ling.upenn.edu From: ksulliva@mail.phila.k12.pa.us (Kathryn Sullivan) Subject: Student Letters from Bethune Mpendwa Dr. Omar: Chei chei. Habari gani? Jina langu ni Rahmel Sommerville. Ninakaa mji wa Philadelphia. Ninasoma shule ya Mary McLeod Bethune Elementary. Mwalimu wangu ni Mrs. Jackson. Ninapenda kufuga mbwa. Ninapenda sana kukimbia na kucheza mpira wa miguu. Mimi ninapenda kusafiri kwa motakaa, basi, boti, gari moshi, na baisikeli. Unapenda kusafiri vipi? Ulifanya nini jana? Nilikimbia. Tutaonana tena. Sincerely, Rahmel Sommerville