Dear Dr. Omar: Jina langu ni Saleta Brent. Ninasoma shule ya Bethune. Mwalimu wangu ni Mrs. Jackson. Ninakaa mji wa Philadelphia. Nina miakaa kumi. Nilizaliwa Desemba saba na elfu moja mia tisa na themanini na saba. Nina dada mmbili na kaka mmoja. Ninapenda kufuga mbwa. Ninapenda sana kukimbia. Unapenda kukimbai? Nina penseli, karatasi, daftari, na mfuko. Una vitu gani? Mimi ninapenda kusafari motokaa, basi, na baissikeli. Unapenda kusafari? Tutaonana tena. Sincerely, Saleta Brent