Date: Mon, 9 Mar 1998 09:15:58 -0500 To: asomar@babel.ling.upenn.edu X-UIDL: 889502613.018 From: ksulliva@mail.phila.k12.pa.us (Kathryn Sullivan) Subject: Student Letters from Bethune School Dear Dr. Omar: Jinga langu ni Shakia Morrison. Ninasoma shule ya Bethune. Mwalimu wangu ni Mrs. Jackson. Ninakaa mji wa Philadelphia. Nina miakaa kumi. Nilizaliwa Aprili kumi na mbili elfu moja mia tisa na themanini na saba. Nina dada watatu na kaka watatu. Nina wazazi. Mababa ni Gregory Winn na mama ni Shirley Winn. Ninapenda kufuga paka. Ninapenda sana kupgelea. Unapenda kuogelea? Nina penseli, karatasi, daftari, mstari, na mfuko. Una vita gani? Mimi ninapenda kusafiri kwa motokaa, ndege, gari moshi, basi, na baisikeli. Unapenda kusafiri? Tutaonana tena. Sincerely, Shakia Morrison