Date: Fri, 13 Mar 1998 10:41:29 -0500 To: asomar@babel.ling.upenn.edu From: ksulliva@mail.phila.k12.pa.us (Kathryn Sullivan) Subject: Student Letters from Bethune Mpendwa Dr. Omar: Habari Gani? Jina langu ni Symira Allen. Ninakaa mji wa Philadelphia. Ninasoma shule ya Bethune. Mwalimu wangu ni Mrs. Jackson. Ninapenda kufuga paka. Ninapenda kuogelea. Unapenda kuogelea? Nina kaka watatu na dada mmoja. Nina wazazi. Nina miakaa kumi. Nilizaliwa Novemba mbili elfu moja mia tisa na themanini na saba. Mimi ninapenda kusafiri kwa motokaa, gari moshi, basi, na baisikeli. Unapenda kusafiri? Tutaoana tena. Sincerely, Symira Allen