Habari gani? /Nzuri sana
Habari gani?/Salama
Habari gani?/ Njema
(If
you have not installed Real Audio/Video Player in your computer, do it
now from Real
Audio Web Site )
Hodi /Karibu
Shikamoo/Marahaba
Hujambo?/Sijambo
Hamjambo?/Hatujambo
Jina lako ni nani?/Jina langu ni Mustafa.
Click script to
see it.
Click script to
see it.
Jambo, Jambo sana!
Habari gani? Nzuri sana.
Wanafunzi, wakaribishwa.
Darasani kwetu, hakuna matata.
Walimu wetu, Hakuna matata.
Na wanafunzi wetu , Hakuna matata.
Shuleni kwetu, Hakuna matata.
Nenda Somo la pili (Lesson 2)