Kiswahili: mwaka wa pili, sehemu ya pili/Spring
2001
Mwalimu Alwiya Omar
Williams Hall 648
Tel: 898 4299
Saa za ofisi: Kwa miadi (by appointment)
Text book & Video tapes: Lioba Moshi
(1996) Kiswahili: Lugha na Utamaduni
(Teaching with Video).. University of Georgia
Kutumia komputa:
Mazoezi ya kusikiliza, kazi ya nyumbani.
Siku ya utamaduni: Ijumaa, Machi 30, 2001, kutoka saa kumi na moja
jioni mpaka saa moja usiku.
Mazungumzo ya Kiswahili: Kukutana na wanafunzi wengine wa
Kiswahili kuzungumza kwa Kiswahili wiki mara moja.
Evaluation:
- Kazi ya nyumbani (pamoja na mazoezi ya komputa, kuandika
habari za kila siku, insha, na mazoezi mengine. (20%)
- Siku ya utamaduni (10%)
- Mradi wa darasa (10%)
- Mitihani midogo (15%)
- Mtihani wa mwisho (35%)
- Kuhudhuria na kushiriki darasani(10%)
Kila wiki, jifunze vitendawili viwili tofauti na methali (idioms)
mbili
tofauti.
Kila siku ya darasa inabidi uwe tayari kuzungumza kuhusu habari za
Marekani na za dunia.
Muhtasari wa wiki
Wiki ya kwanza mpaka ya tatu: Januari 17, 22, 24, 29, na 31
Somo la 16: Afya, Uganga wa Kisasa na wa Jadi.
Kituo cha afya Ilala
Afya ya kina mama
Afya ya watoto
Uganga wa jadi
Mganga Magwaya Mkwayu
Kituo cha Mtakuja
Mazoezi ya kusikiliza:
Afya
Insha kuhusu afya
Wiki ya nne na wiki ya tano: Februari 5, 7, 12, na 14
Somo la 18: Mila na utamaduni.
Ngoma za jadi
Kukoga mwaka Makunduchi
Kujenga kibanda
Shule ya utamaduni na sanaa Bagamoyo
Mazoezi ya kusikiliza:
Sherehe
Insha juu ya sherehe za utamaduni.
Mtihani mdogo wa kwanza (Februari 14)
Wiki ya sita na ya saba: Februari 19, 21, 26, na 28.
Somo la 20: Dini
Desturi za Kiislamu
Desturi za Kikristo
Mazoezi ya kusikiliza: Dini
Insha ju ya dini
Wiki ya nane na ya tisa: Machi 5 na 7
Somo la 21: Historia.
Magofu ya Kaole - Bagamoyo
Mji wa Bagamoyo
Mazoezi ya kusikiliza: Majengo
Insha juu ya historia
Mtihani mdogo wa pili (Machi 7)
Wiki ya kumi: Machi 12 na 14: LIKIZO YA SPRING
Wiki ya kumi na moja na ya kumi na mbili: Machi 19, 21, 26, na 28.
Somo la 23: Siasa.
Sherehe za sabasaba
Kupokea maandamano
Hotuba za kisasa
Mazoezi ya kusikiliza: Siasa
Insha juu ya Siasa
Ijumaa Machi 30: Siku ya utamaduni. Saa kumi na moja jioni
mpaka saa moja usiku.
Wiki ya kumi na tatu na ya kumi na nne: Aprili 2, 4, 9, 11.
Somo la 22: Utalii.
Utali na wanyama mwitu
Mbunga za Manyara
Mazoezi ya kusikiliza: Wageni
Insha juu ya utalii
Mtihani mdogo wa tatu (Aprili 11)
Wiki ya kumi na tano: Aprili 16, 18, 24, na 26
Mazungumzo ya mada za wanafunzi
Marudio
Mtihani wa mwisho: Mei 7
For more
information, please contact:
African
Studies
Center
645 Williams Hall
Unversity of Pennsylvania
Philadelphia, PA 19104
Tel: 215 898 6971
Last Modified: Januari 17, 2001
Alwiya
S. Omar, asomar@babel.ling.upenn.edu
African Language Coordinator