Kiswahili Reading no. 10
Click here to hear it
Alternate location
  • Listen to the story
  • Fill-out the blanks with the words you hear
  • Answer questions
  • Write a brief narration about what you listen
  • Mail the answers to your teacher.

    ZOEZI LA KUMI
    Bendera ya Tanzania
    Kila nchi ina . Bendera hupepea juu ya na ofisi za serikali. Bendera ya Tanzania ina nne: kijani, , nyeusi na buluu. Rangi ya kijani kilimo. Uchumi wa Tanzania kilimo. Rangi ya manjano inaonyesha wa nchi. Tanzania ina mengi. Rangi nyeusi inaonyesha watu. Tanzania ina watu wa rangi lakini watu wengi ni . Buluu inaonyesha maji na . Visiwa vya Zanzibar na bahari na vilevile huko bara kuna makubwa na mito mingi. Watanzania wanaheshimu bendera yao.

    mila: tradition
    utamaduni: culture
    utafiti: research

    Maswali
    On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


    1. Rangi gani ya Bendera ya Tanzania inaonyesha watu wa Tanzania?

    2. Rangi ya buluu ina maana gani kwa Watanzania?

    3. Rangi gani inaonyesha alama ya kilimo?

    4. Kwanini bendera ya Tanzania ina rangi ya manjano?

    5. Watanzania wengi wanafanya kazi gani?

    6. Wapi unaweza kuona bendera?

    7. Write a brief note about what you heard.

    Enter your instructor's email:
    Your name:
    Your email: