Kiswahili Reading no. 13
Click here to hear it
Alternate location
  • Listen to the story
  • Fill-out the blanks with the words you hear
  • Answer questions
  • Write a brief narration about what you listen
  • Mail the answers to your teacher.

    13. ZOEZI LA KUMI NA TATU
    Maskini
    Mzee Fitombili ni mtu sana. Hana watoto na hana kazi. Yeye ni . kazi yake ni omba omba . Mzee Fitombili anakaa katika cha Kibindo lakini sasa katika njia za mjini. Mara mzee Fitombili anaomba . Kila siku ya Ijumaa Fitombili pamoja na maskini wanakaa karibu na na kuomba . Siku nyengine anaomba maduka au hoteli za mji. Fitombili njiani na hana nguo. Anahitaji . Mara kwa mara watu chai na mkate au chakula kingine lakini . Labda serikali watu kama mzee Fitombili.

    -omba: beg
    -lala: sleep
    mkate: bread

    Maswali
    On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


    1. Mzee Fitombili anafanya kazi gani?

    2. Anatoka kijiji gani?

    3. Fitombili analala wapi?

    4. Siku ya Ijumaa maskini wanapata msaada wapi?

    5. Fitombili ana watoto wangapi?

    6. Serikali inasaidia maskini?

    7. Write a brief note about what you heard.

    Enter your instructor's email:
    Your name:
    Your email: