Kiswahili Reading no. 1
Click here to hear it.
Or try this alternate location.
If you didn't install Real Audio Player in your computer, download it from
Real Audio Web Site
Listen to the story
Fill-out the blanks with the words you hear
Answer questions
Write a brief narration about what you listen
Mail the answers to your teacher.
ZOEZI LA KWANZA
Ukoo wangu
Ukoo
si mkubwa
. Nina baba na mama na
wawili. Baba
jina lake Hamisi Mashaka. Yeye ni
. Mama yangu
lake ni Mariam Mashauri. Yeye ni mkulima
. Vile vile mama
nyumba yetu. Ndugu yangu
jina lake ni Bakari na
ni Hadija. Hadija ni
wa shule ya
. Anasoma darasa la
. Mimi ninasoma
Kikuu cha Dar-es-salaam. Ninasoma
ya lugha. Bakari si mwanafunzi. Yeye ni
katika ofisi ya
. Mimi ninakaa kwenye
moja la Chuo Kikuu. Bakari ana
yake sasa lakini
nyumbani kwa wazazi kila siku ya
.
Maswali
On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.
Enter your instructor's email:
Your name:
Your email:
1. Ukoo wa mwandishi una watu wangapi?
2. Nani alizaliwa mwisho?
3. Bakari anafanya kazi gani?
4. Hadija na Bakari wana uhusiano gani na mwandishi?
5. Eleza nani anafanya kazi zaidi--mama au baba yangu?
6. Lini mwandishi anaonana na Bakari?
7. Write a short essay based on the story