Kiswahili Reading no. 7
Click here to hear it
Alternate location
Listen to the story
Fill-out the blanks with the words you hear
Answer questions
Write a brief narration about what you listen
Mail the answers to your teacher.
ZOEZI LA SABA
Dukani
Bwana Mwinyimali ana duka lakini yeye
kazi dukani. Ni mfanya kazi wake, Bibi Shauri,
anafanya kazi dukani. Kila siku
duka saa mbili asubuhi na analifunga saa sita
ili arejee nyumbani kula
cha mchana. Bibi Shauri analifungua duka tena
saba mchana mpaka saa
usiku. Watu wengi
kuja dukani kwa bwana Mwinyimali. Duka lake ni
na lina vitu vyingi. Kuna
na vyakula na mahitaji
ya nyumbani. Bibi Shauri ni mfanyakazi mzuri. Anapenda
na watu na kuwakaribisha. Bibi Kijakazi ni
yake bibi Shauri.
dukani kila siku baada ya
kazini ili anunue mahitaji yake na
na rafiki yake.
Maswali
On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.
Enter your instructor's email:
Your name:
Your email:
1. Mwenye duka ni nani?
2. Nani anafanya kazi dukani?
3. Kwanini mfanya kazi anafunga duka mchana?
4. Bibi Kijakazi huja kufanya nini dukani kwa Mwinyimali?
5. Dukani kuna nini?
6. Bibi Shauri anafanya kazi saa ngapi kwa siku?
7. Write a brief note about what you heard.