Kiswahili Students
Televised Kiswahili Program
Tuzungumze Kiswahili
Hawa ni wanafunzi ambao wanasoma Kiswahili kwa njia ya television, na maandishi yao.
|
Jina langu ni Archie Oxner. Ninasoma katika shule ya Mary McLeod Bethune. Ninakaa katika mji wa Philadelphia. Nilizaliwa Machi kumi na tano mwaka elfu moja mia tisa na themanini na saba. |
|
Jina langu ni Katie Crossman. Ninakaa mji wa Philadelphia. Ninasoma shule ya Masterman. Mwalimu wangu ni Mwalimu Turner. |
|
Jina langu ni Robert Bailey. Ninasoma shule ya Masterman. Mwalimu wangu ni Mwalimu Turner. |
|
Jina langu ni Peter Paone. Ninasoma shule ya Masterman. Ninakaa mji wa Philadelphia. Mwalimu wangu mwalimu Turner. |
|
Jina langu ni Jamie Kennedy. Nina soma shule ya Materman. Mwalimu wangu ni Mwalimu Turner. Ninakaa mji wa Philadelphia |
|
Jina langu Stacy Lapteva. Ninasoma shule ya Masterman. Mwalimu wangu ni Mwalimu Turner. Ninakaa mji wa Philadelphia. |
|
Jina langu ni Wanda Powell. Ninakaa mji wa Philadelphia. Ninasoma shule ya Mary McLeod Bethune Elementary School. Mwalimu wangu ni Mrs. Jackson. |
|
Jina langu ni Saleta Brent. Ninakaa mji wa Philadelphia. Ninasoma shule ya Mary McLeod Bethune Elementary School. Mwalimu wangu ni Mrs. Jackson. |
|
Jina langu ni Kamilah. Ninasoma shule ya Masterman. Mwalimu wangu ni Mwalimu Turner. |