Zoezi la kusikiliza: Afya
Jibu maswali yafuatayo. Ukimaliza mpelekee mwalimu wako kwa kufuata maelezo ambayo yako mwisho wa zoezi hili.

1. Kwa kawaida katika kituo cha afya cha Kizimkazi huwa na wafanyakazi gani?2. Huduma tatu muhimu hutolewa katika vituo vya afya. Ni huduma gani?3. Watoto hupata maradhi gani kama hawakupata chanja kwa wakati?4. Kipindu pindu husababishwa na nina?5. Watu wanaweza kujikinga vipi na maradhi ya kipindu pindu?6. Mambo gani akina mama inabidi wafanye ili wawe na watoto wenye afya njema?7. Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania alifanya kazi gani katika kituo cha afya cha Kizimkazi?8. Andika insha juu ya huduma za afya hapa Marekani na uzifananishe na zile za Zanzibar.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

Return to the Afya Vocabulary

Return to the Main Page