Chemshabongo

Afya

Kwenda kulia
2. Muda wa mwaka kutoka Machi mpaka Mai ambao kuvua sana.
5. Mama na Baba wana______ watoto wao. (verb infinitive)
7. Nutrition.
8. Mahali unapokaa ni ________ wako.
9. Wakati mtu hawezi kutumia mikono au miguu yake.
11. Rafiki yangu anasoma ___________. (public health)
12. Wakati mke ana mtoto katika 'tumbo'.
Kwenda chini
1. Protect.
3. Maji, na maji, na maji, na maji tena.
4. Daktari ana_________ watoto ili hawakuwa na maradhi. (verb infinitive)
6. Mfano ni ndui na kipindu pindu.
8. _________ ya dawa (au maji, nk.).
10. Mahali ambapo daktari na nurses wanafanya kazi.
1
2 3
4
5 6
7
8
9
10
11
12