Zoezi la kusikiliza: Elimu
Jibu maswali yafuatayo. Ukimaliza mpelekee mwalimu wako kwa kufuata maelezo ambayo yako mwisho wa zoezi hili.

1. Lugha ya kufundishia ya shule ya msingi katika Tanzania ni lugha gani?



2. Wanafunzi hufanya nini wanapomaliza miaka saba ya shule ya msingi?



3. Je, wanafunzi wanaweza kuvaa nguo yo yote ile shuleni? Eleza.



4. Wanfunzi wanaweza kufanya nini baada ya masomo ya sekondari?



5. Wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam husomea shahada gani?



6. Je, kuna chuo Kikuu huko Zanzibar? Ni chuo cha masomo gani?



7. Kama ungepata nafasi ya kusoma katika Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam, ungeweza kusoma masomo gani?



8. Andika insha juu ya elimu katika sehemu unayotoka na ufananishe na elimu katika Tanzania.



Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

Return to the Elimu Vocabulary

Return to the Main Page