Zoezi la kusikiliza: Majengo
Jibu maswali yafuatayo. Ukimaliza mpelekee mwalimu wako kwa kufuata maelezo ambayo yako mwisho wa zoezi hili.

1. 'Nyumba ya Maajabu' ilijengwa mwaka gani? Andika mwaka kwa maneno.2. Kwanini jengo hili liliitwa 'Nyumba ya Maajabu' au 'Beit-el-ajaib'?3. Wazanzibari na wageni hufanya nini kila jioni kwenye forodha iliyoko mbele ya jengo hili?4. Hivi sasa jengo hili hutumika kwa kitu gani?5. Wareno walijenga jengo gani katika kisiwa cha Zanzibar?6. Wahindi walijenga jengo gani?7. Jengo gani lilijengwa katika karne ya 19?8. Andika maelezo juu ya majengo ya sehemu unayotoka.Email ya Mwalimu:
Jina lako:
Email yako:

Kurdia Msamiati wa Majengo

Kudi Ukurasa Mkuu