Zoezi la kusikiliza: Sherehe
Jibu maswali yafuatayo. Ukimaliza mpelekee mwalimu wako kwa kufuata maelezo ambayo yako mwisho wa zoezi hili.

1. Maulidi ni sherehe gani?2. Mambo gani hutokea ya maulidi?3. Je, kasida zinasomwa siku ya maulidi husifu maishi ya mtoto?4. Sherehe ya mwaka kogwa ni sherehe gani?5. Wanafunzi wa chuoni, kwa kawaida hufanya nini?6. Taja namna mbili zinazotumika kufukuza mashetani?7. Kwanini kulikuweko msemo "Mwaka hauna sheria"?8. Andika juu ya sherehe moja ambayo hufuyika hapa Marekani?Email ya Mwalimu:
Jina lako:
Email yako:

This page was created using Web Author Page at UPenn