Zoezi la kusikiliza: Siasa I
Jibu maswali yafuatayo. Ukimaliza mpelekee mwalimu wako kwa kufuata maelezo ambayo yako mwisho wa zoezi hili.

Copy/paste these symbols, if needed
, , , , , , , , , , , , , , , , , , ,
, , , , , , , , ,,, , ,
, , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,
1. Nina jina la asili la Tanzania Bara?2. Watanzania Bara walipata uhuru wao kutoka kwa Mwingereza mwaka gani?3. Watanzania Bara walitukuza uhuru wao kwa kufanya nini?4. Tanzania ni jina rasmi la muungano baina ya nchi gani?5. Watu wa Zanzibar walipata uhuru wao kutoka Mwingereza mwaka gani?6. Tukio gani lilitokea huko Zanzibar mwaka 1964?7. Rais gani wa Tanzania hajachaguliwa kwa kutumia mfumo wa vyama vingi?8. Kwa kutumia maneno yako mwenyewe, andika muhstari wa maelezo ambayo umesikiliza.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

This page was created using Web Author Page at UPenn
  • Zoezi la kusikiliza: Siasa I (siasa1ex.html)