Zoezi la kusikiliza: Siasa II
Jibu maswali yafuatayo. Ukimaliza mpelekee mwalimu wako kwa kufuata maelezo ambayo yako mwisho wa zoezi hili.

Copy/paste these symbols, if needed
à, è, ì, ò, ù À, È, Ì, Ò, Ù, á, é, í, ó, ú, ý Á, É, Í, Ó, Ú, Ý
â, ê, î, ô, û Â, Ê, Î, Ô, Û,ã,ñ, õ Ã, Ñ,
Ä Ë, Ï, Ö, Ü, Ä, Ë, Ï, Ö, Ü, Å, Å, Æ, Æ, Œ, Œ, Ç, Ç, Ð, Ð, Ø, Ø, ¿, ¡, ß
1. Mfalme Kabaka wa Uganda aliondolewa madarakani mwaka gani?



2. Kenya ilipata uhuru kutoka kwa Mwingereza mwaka gani?



3. Kiongozi gani wa Uganda aliondolewa kwa nguvu na majeshi ya nchi nyengine?



4. Obote alikuwa rais wa Uganda mara ngap? Na miaka gani?



5. Nchi gani ya Afrika ya Mashariki ilianzisha mfumo wa kuwa na vyama vingi baadaya uhuru? Ilianzisha mfumo huu mwaka gani?



6. Je, Moi alishinda uchaguzi wa vyama vingi mara ngapi?



7. Wakoloni walimtesa vipi Marehemu Kenyata?



8. Kwa kutumia maneno yako mwenyewe, andika muhtasari wa maelezo ambayo umesikiliza.



Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

This page was created using Web Author Page at UPenn
  • Zoezi la kusikiliza: Siasa II (siasa2ex.html)