Zoezi la kusikiliza: Sokoni
Jibu maswali yafuatayo. Ukimaliza mpelekee mwalimu wako kwa kufuata maelezo ambayo yako mwisho wa zoezi hili.

1. Soko la Kariakoo liko wapi?2. Bidhaa huuzwa wapi katika soko la Kariakoo? Eleza.3. Ni lazima muuzaji afanye nini kama nataka kuuza bidhaa zake ndani ya jengo la soko?4. Kwanini kuna nazi nyingi katika soko la Kariakoo?5. Ndizi na muhogo hupikwa vipi?6. Mahindi hutumiwa vipi na watu wa Tanzania?7. Kama ukienda soko la Kariakoo unaweza kunua matunda na nafaka gani?8. Andika insha juu ya mazao yanayopatikana sehemu unayotoka na andika maelezo juu ya chakula au vyakula muhimu vya wenyeji.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

Return to the Sokoni Vocabulary

Return to the Main Page