Zoezi la kusikiliza: Usafiri
Jibu maswali yafuatayo. Ukimaliza mpelekee mwalimu wako kwa kufuata maelezo ambayo yako mwisho wa zoezi hili.

1. Kwanini usafiri wa baharini ni muhimu kwa watu wa Unguja na Pemba?2. Boti la 'Muungano' husafiri baina ya Unguja na Dar-es-salaam mara ngapi kwa siku?3. Raha gani abiria anapata wakati anaposafiri kwa boti?4. Kwa kawaida abiria wanaotaka kusafiri kwa boti huweza kukata tiketi zao wapi?5. Nani huhakikisha kwamba abiria wa boti wana tiketi zao?6. Angalia tena picha ya 'gari la matwana'. Andika maelezo kuhusu picha hii.7. Angalia tena picha ya 'ndege'. Andika maelezo kuhusu picha hii.8. Je, unapenda kusafiri? Unapenda kusafiri vipi? Andika insha juu ya safari moja ambayo umewahi kuifanya au safari moja ambayo ungependa kuifanya.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

Return to the Usafiri Vocabulary

Return to the Main Page