Transportation


Gatini

Gatini ni mahala ambapo wasafiri wanaweza kupanda botini, melini, au mashuani. Meli na vyombo vingine vya baharini hufunga nanga gatini.

kufunga nanga = to anchor