Ndege au Eropleni Ndege ni chombo cha usafiri wa hewani. Hivi sasa ndege imetua katika kiwanja cha ndege. kiwanja cha ndege = airport