Zoezi la kusikiliza: Wageni
Jibu maswali yafuatayo. Ukimaliza mpelekee mwalimu wako kwa kufuata maelezo ambayo yako mwisho wa zoezi hili.

1. Wageni kutoka mabara gani walitembelea na kuhamia katika visiwa vya Zanzibar?2. Waarabu walileta dini gani katika visiwa vya Zanzibar?3. Sherehe gani ambayo inasherehekewa na wazanzibari hufanana na sherehe moja inayosherehekewa huko Iran?4. Sherehe hii husherekewa katika kijiji gani huko Zanzibar na ni nini madhumuni ya sherehe hii?5. Washirazi ni watu wa wapi?6. Wageni kutoka wapi walioana zaidi na wenyeji wa visiwa vya Unguja na Pemba?7. Je, wageni wanaendelea kutembelea visiwa hivi mpaka sasa?8. Andika insha juu ya wageni ambao wamekuja na kuhamia katika nchi ya Marekani na fananisha na wageni ambao walitembelea Zanzibar.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

Return to the Wageni Vocabulary

Return to the Main Page