Kiswahili Reading no. 11
Click here to hear it
Alternate location
 • Listen to the story
 • Fill-out the blanks with the words you hear
 • Answer questions
 • Write a brief narration about what you listen
 • Mail the answers to your teacher.

  ZOEZI LA KUMI NA MOJA
  Gwaride
  Kila siku asubuhi kabla ya darasani wanafunzi wa shule za wanafanya katika uwanja wa shule. Kwa kawaida gwaride dakika 15. Mwalimu wa anafundisha wanafunzi kusimama na vizuri kama askari. Wanafunzi wimbo wa taifa na nyimbo nyingine za shule. Baada ya machache wanafunzi huingia darasani na masomo. Siku ya Ijumaa gwaride huchukua muda zaidi. Baada ya mwalimu mkuu hutoa hotuba kwa wa dakika kumi. Wanafunzi hukaa na kumsikiliza mwalimu akizungumza.

  gwaride: march

  Maswali
  On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


  1. Nani anafundisha wanafunzi gwaride?

  2. Wanafunzi wanafanya nini wakati wa gwaride?

  3. Kwa kawaida wanafunzi wanafanya gwaride siku ngapi katika wiki?

  4. Hutokea nini siku ya Ijumaa?

  5. Kama gwaride linaanza saa mbili asubuhi siku ya Ijumaa, wanafunzi huingia darasani saa ngapi?

  6. Wanafunzi husikiliza hotuba vipi?

  7. Write a brief note about what you heard.

  Enter your instructor's email:
  Your name:
  Your email: