Kiswahili Reading no. 12
Click here to hear it
Alternate location
  • Listen to the story
  • Fill-out the blanks with the words you hear
  • Answer questions
  • Write a brief narration about what you listen
  • Mail the answers to your teacher.

    12. ZOEZI LA KUMI NA MBILI
    Makumbusho ya Zanzibar
    Zanzibar kuna mawili ya moja kubwa na moja dogo. Katika jumba la makumbusho unaweza na kusoma habari za watu wa Zanzibar. Kuna picha za wa zamani na yao. Pia kuna picha za wa sasa wa ya Zanzibar. Jumba dogo la makumbusho ni ya wanyama, na miti. Nje ya makumbusho kuna kobe wakubwa . Watoto wanapenda na kobe hawa. Majumba ya makumbusho yako Zanzibar karibu na hospitali kubwa ya Zanzibar. wengi wanapenda kuona makumbusho ya Zanzibar.

    makumbusho: museum
    kobe: turtle
    maarufu:famous

    Maswali
    On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


    1. Makumbusho yako sehemu gani ya kisiwa cha Zanzibar?

    2. Unaona nini katika makumbusho kubwa?

    3. Sehemu gani kuna wanyama?

    4. Je, Zanzibar kuna wafalme sasa?

    5. Unafikiri kwanini watalii wanapenda kwenda makumbusho?

    6. Je, Watoto wanapenda kobe?

    7. Write a brief note about what you heard.

    Enter your instructor's email:
    Your name:
    Your email: