Kiswahili Reading no. 14
Click here to hear it
Alternate location
 • Listen to the story
 • Fill-out the blanks with the words you hear
 • Answer questions
 • Write a brief narration about what you listen
 • Mail the answers to your teacher.

  14. ZOEZI LA KUMI NA NNE
  Uvuvi
  Uvuvi ni kazi sana visiwani Unguja na Pemba. Visiwa vya Unguja na Pemba kwa pamoja Zanzibar. Maisha ya watu wa visiwa hivi kazi ya uvuvi. Karibu watu wote katika miji ya pwani wanajua . Kuna njia za kuvua samaki. Wavuvi wa nchi wanatumia meli kubwa za . Likini visiwani Zanzibar, wavuvi hawana pesa nyingi za kununua meli au boti za kuvulia. kuvua samaki wengi. Wanavua samaki tu kila siku kwa sababu bado vyombo vya zamani vya kuvulia. Samaki ni kitu sana kwa watu wa Zanzibar. Watu wengi wanatumia samaki katika chao cha kila siku.

  makumbusho: museum
  kobe: turtle
  maarufu:famous

  Maswali
  On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


  1. Nini kazi muhimu ya watu wa Zanzibar?

  2. Wavuvi wengi wanaishi wapi?

  3. Wavuvi wa nchi tajiri wanavua samaki vipi?

  4. Kwanini wavuvi wa Unguja wanavua samaki kidogo tu?

  5. Kwanini samaki ni muhimu katika Zanzibar?

  6. Nini kinyume cha neno 'tajiri'?

  7. Write a brief note about what you heard.

  Enter your instructor's email:
  Your name:
  Your email: