Kiswahili Reading no. 15
Click here to hear it
Alternate location
  • Listen to the story
  • Fill-out the blanks with the words you hear
  • Answer questions
  • Write a brief narration about what you listen
  • Mail the answers to your teacher.

    15. ZOEZI LA KUMI NA TANO
    Wanyama wa Kufuga
    Afrika Mashariki hasa Tanzania kuna wengi sana. Baadhi ya wanyama hawa msituni na wanaitwa wanyama msitu kama Simba, na Pundamilia. Wanyama wengine wanaishi karibu na za watu au kwenye nyumba na watu. Hawa wanaitwa wanyama wa . Wanyama wanafugwa kwa sababu . Wengi wanafugwa kwa sababu ya watu katika kazi zao. Kwa mfano punda hubeba au huvuta plau wakati wa . Mbwa ni mkubwa wa watu na vile vile ni rafiki kwa watu . Paka ni mlinzi wa panya ndani ya nyumba. Mbuzi na wanasaidia watu kupata chakula kwa kutoa au nyama. Watu wengi katika Afrika, hasa wale mashamba, wanategemea wanyama wa kufuga katika yao.


    Maswali
    On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


    1. Simba na Tembo ni wanyama gani?

    2. Punda milia anakaa wapi?

    3. Wanyama wa kufuga wanaishi wapi?

    4. Nini kazi ya Mbwa?

    5. Mbuzi na ng'ombe wanatoa nini?

    6. Plau linatumika wakati gani?

    7. Write a brief note about what you heard.

    Enter your instructor's email:
    Your name:
    Your email: