Kiswahili Reading no. 2
Click here to hear it
Alternate location
If you didn't install Real Audio Player in your computer, download it from Real Audio Web Site

  • Listen to the story
  • Fill-out the blanks with the words you hear
  • Answer questions
  • Write a brief narration about what you listen
  • Mail the answers to your teacher.
    ZOEZI LA PILI
    Bwana Orio
    Bwana Jerome Orio ni katika shule moja ya sekondari ya Kisumu. Kisumu ni mkuu wa la Nyanza katika ya Kenya. Mji wa Kisumu uko ukingo wa kaskazini ya Ziwa Victoria (yaani Ziwa ). Bwana Orio shule kila siku lakini hafanyi kazi siku za na Jumapili. Katika shule ya Bwana Orio kuna wengi na walimu sana kama Bwana Orio. Katika la Bwana Orio kuna wanafunzi 25. wanasoma masomo kama Hesabu, Kiingereza, Kiswahili, masomo ya , masomo ya riadha na . Wanafunzi wanampenda Bwana Orio sana anasomesha masomo haya vizuri sana. ya siku, Bwana Orio wanafunzi wake kwenye wa ziwa baada ya darasa la . Wanafunzi hufurahi sana huu.

    Maswali
    On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.
    1. Bwana Orio anafanya kazi gani?
    2. Bwana Orio anafanya kazi siku gani?
    3. Bwana Orio ana wanafunzi wangapi? (kwa maneno)
    4. Kwanini wanafunzi hufurahi kwenda kwenye ufukwe wa ziwa?
    5. Kila asubuhi Bwana Orio na wanafunzi huamkiana vipi?
    6. Unaweza kusema Bwana Orio ni mwalimu mzuri? Kwanini?
    7. Write a short essay based on the story
    Enter your instructor's email:
    Your name:
    Your email: