Kiswahili Reading no. 3
Click here to hear it
Alternate location for audio
If you didn't install Real Audio Player in your computer, download it from Real Audio Web Site

  • Listen to the story
  • Fill-out the blanks with the words you hear
  • Answer questions
  • Write a brief narration about what you listen
  • Mail the answers to your teacher.
    ZOEZI LA TATU
    Mzee Akilimali
    Mzee Akilimali anakaa na nyumba yetu. Yeye ni mtu sana. Ana miaka sabini na tano bado anafanya kazi sana. Zamani alikuwa wa shule lakini sasa am estaafu. amestaafu, mzee Akilimali kufundisha. Anafundisha watu wazima kusoma na kiingereza na kiswahili wakati wa jioni. Shule yake iko ya mti m bele ya nyumba yake. Mzee Akilimali anapenda na kusema habari za shule na siasa. Vile vile anapenda kuzungumza masomo yake huko chuo kikuu cha Oxford, . Mzee Akilimali al isoma Oxford muda wa mitatu na alipata shahada kwenye Isimu ya mwaka arobaini na saba.


    Maswali
    On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.
    1. Mzee Akilimali alizaliwa mwaka gani? (mwaka kwa maneno).
    2. Alifanya kazi gani zamani?
    3. Mzee Akilimali anafanya nini sasa?
    4. Mzee Akilimali alikuwa mwanafunzi wapi?
    5. Alipokuwa mwanafunzi alisoma nini?
    6. Nini maana ya 'kufundisha' kwa Kiswahili?
    7. Write a short essay based on the story
    Enter your instructor's email:
    Your name:
    Your email: