Kiswahili Reading no. 4
Click here to hear it
Click here for alternate location

 • Listen to the story
 • Fill-out the blanks with the words you hear
 • Answer questions
 • Write a brief narration about what you listen
 • Mail the answers to your teacher.
  ZOEZI LA NNE
  Maamkio
  Watu wa Tanzania Kiswahili lakini wana tofauti. Kwanza watoto wa Zanzibar wanasema 'chechei' kuamkia watu na jawabu lake ni 'chechei'. Watoto na watu wazima wanaamkia wakubwa wao kwa 'subalkheri' kwa wakati wa na 'msalkheri' kwa jioni. Wakubwa 'subalkheri' au 'msalkheri'. Huko Tanzania bara, na watu wazima wakubwa wao kwa kusema 'shikamoo' na wakubwa wanajibu kwa kusema 'marahaba.' Kwa desturi watoto huanza kuamkia watu wazima.


  Maswali
  On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.
  1. Je, maamkio ni sawasawa katika Tanzania yote?
  2. Watoto wa Zanzibar wanaamkia vipi?
  3. Nini jawabu ya msalkheri?
  4. Kwa desturi nani huanza kuamkia?
  5. Watoto wanaamkia vipi katika Tanzania bara?
  6. Msalkheri na subalkheri hutumika wakati gani?
  7. Write a short essay based on the story
  Enter your instructor's email:
  Your name:
  Your email: