Kiswahili Reading no. 5
Click here to hear it
Click here for alternate location
  • Listen to the story
  • Fill-out the blanks with the words you hear
  • Answer questions
  • Write a brief narration about what you listen
  • Mail the answers to your teacher.

    ZOEZI LA TANO
    Bustani
    Bustani ya mama iko ya nyumba yetu. Mama maua. Anapanda maua ya mbali mbali. Kila siku asubuhi na mama maji katika maua. Mimi ninamsaidia mama baada ya kurudi na baba anamsaidia baada ya kurudi kazini. Wakati wa mama hatilii maji katika. Mama anauza maua mazuri . Watu wengine nyumbani kununua maua. Mama anapenda maua ya rangi zote na ya siku anachuma maua mazuri na nyumbani. kuchuma maua = to pick flowers kupamba = to decorate
    Maswali
    On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


    1. Mama anapanda maua wapi?

    2. Kuna nini katika bustani?

    3. Wakati gani mama anatilia maji maua?

    4. Baba anamsaidia mama wakati gani?

    5. Kwanini mama hatilii maua maji wakati wa mvua?

    6. Mama anauza maua wapi?

    7. Write a brief note about what you heard.

    Enter your instructor's email:
    Your name:
    Your email: