Kiswahili Reading no. 6
Click here to hear it
Alternate location
 • Listen to the story
 • Fill-out the blanks with the words you hear
 • Answer questions
 • Write a brief narration about what you listen
 • Mail the answers to your teacher.

  ZOEZI LA SITA
  Dereva wa Lori
  Baba yangu ni dereva. lori la mkaa. Kazi yake ni mkaa. Kila siku asubuhi baba anakwenda kutafuta mkaa. Mchana anarudi na mkaa katika njia za wa Arusha. Lori la baba si kubwa hawezi kuchukua mwingi wakati mmoja. Baba anafanya kazi ili apate pesa za . Mimi baada ya shule baba kuuza mkaa. Baada ya kuuza mimi na baba nyumbani na tunakula chakula cha . Baada ya chakula ninafanya kazi za shule. mkaa: charcoal


  Maswali
  On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


  1. Orodhesha vitu vitatu ambavyo baba anafanya kila siku.

  2. Baba anapata mkaa wapi?

  3. Kwanini baba anafanya kazi kutwa?

  4. Duka la baba liko wapi?

  5. Wakati gani mwandishi anamsaidia baba?

  6. Wakati gani ninafanya kazi za shule?

  7. Write a brief note about what you heard.

  Enter your instructor's email:
  Your name:
  Your email: