Kiswahili Reading no. 8
Click here to hear it
Alternate location
  • Listen to the story
  • Fill-out the blanks with the words you hear
  • Answer questions
  • Write a brief narration about what you listen
  • Mail the answers to your teacher.

    ZOEZI LA NANE
    Mlima wa Kilimanjaro
    Afrika kuna mingi lakini milima iko Afrika Mashariki. Mlima mkubwa yote ni mlima Kilimanjaro na mlima Kenya. Mlima Kilimanjaro karibu na mji wa Moshi Tanzania. Una wa futi 14,340 Juu ya mlima Kilimanjaro kuna . Watu wanasema mlima Kilimanjaro una nyeupe. Wakati wa joto theluji inakuwa na inafanya mito ya maji. Watu wengi mlima Kilimanjaro lakini tu wanapanda mpaka juu.
    Maswali
    On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


    1. Sehemu gani ya Afrika kuna milima mikubwa?

    2. Mlima mkubwa kuliko yote uko wapi?

    3. Mlima Kilimanjaro una urefu gani? (kwa maneno)

    4. Kwanini mwandishi anaandika kwamba kuna kofia nyeupe juu ya mlima Kilimanjaro?

    5. Ukienda juu ya mlima Kilimanjaro utavaa nguo gani?

    6. Wakati gani kuna mito ya maji kutoka mlima Kilimanjaro?

    7. Write a brief note about what you heard.

    Enter your instructor's email:
    Your name:
    Your email: