Kiswahili Reading no. 9
Click here to hear it Alternate location
 • Listen to the story
 • Fill-out the blanks with the words you hear
 • Answer questions
 • Write a brief narration about what you listen
 • Mail the answers to your teacher.

  ZOEZI LA TISA
  Mwanafunzi wa Kiswahili
  Mimi ninaitwa Mary Baker katika darasa la kiswahili langu ni Mariam Bakari. Nina ishirini. Ninaishi Bloomington katika la Indiana, lakini Cincinnati katika jimbo la Ohio. Ninasoma ya siasa na kiswahili. Kiswahili na Bwana Ahmed Shariff. Yeye ni wa Zanzibar. Mwalimu anatufundisha kusoma, kusema na kuandika kiswahili na tunajifunza mila na wa Waswahili. Ninapenda kiswahili sana ninataka kwenda Afrika Mashariki. Nataka na watu wengi kwa kiswahili kwa sababu nataka utafiti juu ya siasa sehemu hii. Kwa hivyo ni lazima kiswahili vizuri.

  mila: tradition
  utamaduni: culture
  utafiti: research

  Maswali
  On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.


  1. Mariam anatoka wapi?

  2. Anasoma nini hapa Chuoni?

  3. Nani mwalimu wake wa kiswahili?

  4. Mwalimu anafundisha nini darasani?

  5. Wazee wa Mariam wanakaa wapi?

  6. Maryam anataka kufanya nini huko Afrika Mashariki?

  7. Write a brief note about what you heard.

  Enter your instructor's email:
  Your name:
  Your email: